Ambassador-hotel-arusha

Ambassador-hotel-arusha


Contact Seller
Report this advert

Description

Shangwe za weekend, na Ambassador Hotel Arusha. Karibu upate Huduma za kupeleka weekend yako salama ukiwa katika Hoteli yenye hadhi ya Nyota-2, Wahudumu wacheshi, Chakula kitamu, na Usalama wa wewe na mali yako. Paking kubwa ya kuhifadhi gari zaidi ya 50. ndani. Kwa kutufikia tupigie kwa nambari ya simu +255 754 965 128 au +255 658 142 987- Kwa barua pepe- reservations@ambassadorhotelarusha.com

Image Gallery

Map Location