Looking-for-house-to-rent-moshi

Looking-for-house-to-rent-moshi


Contact Seller
Report this advert

Description

Hello Moshi Community.
Looking for a small house to rent in Moshi! Minimum requirements Dining/Living Room, Kitchen, Master Bedroom or Bedroom with separate Toilet and Shower. Must have western Toilet! Preferred fenced and a small little green around for sitting outside. Budget 200,000 TSH per Month.
Contactꓽ africanopportunity2013@gmail.com
Or
Mobileꓽ 0622 368 542
Or
WhatsAppꓽ 0672 997 458
Harari mji wa moshi ,
Naitaji nyumba ya kupanga moshi ukubwa wake uwe wa saizi isiwe kubwa sana wala ndogo sana , Iwe na sehemu ya jiko la saizi na sehemu ya kuweka vitu ,na iwe na chumba cha kulala chenye chooo ndan au chumba kilichotengana na chooo na bafu,chooo naomba kiwe cha kufrash na nyumba iwe na ukuta ata na nje kuwe na ukoka wa majan ya kukaa lakini nyumba iwe ya 200.000 TSH kwa mwezi.
Kwa mawasiliano ninayotumia whatsapp, na kawaida 0672 997 458
Karibu Sana

Image Gallery

No images.

Map Location