Description

NYUMBA INAUZWA SUYE ARUSHA MJINI DAKIKA 8 KWA GARI TOKA CLOCK TOWER, ARUSHA.

 

Nyumba ina Vyumba vitatu vya kulala, (Moja Master). Sebule kubwa na Dining, Jiko na Stoo yake vyote ndani ya Nyumba. Ina full tiles. Na ni nzuri kwa kufanyia makazi ya kuishi.Nyumba ina Ukuta na Geti zuri sana.Ni salama sana kwa kuishi.

Nyumba vile vile inayo Mabanda ya kufugia Kuku ndani ya Kampaundi yake. Pia, Nyumba ina Chumba kingine cha Kufanyia Biashara ama Ofisi. Aina ya Biashara iliyokuwa inafanyika ni Biashara ya kutotolea Vifaranga.

Nyumba hii, Ipo Suye, dakika 8 kwa miguu toka Masai Camp, ni karibu na KARAMA LODGE pia ni dakika 3 toka PENTAGON BAR.

Nyumba ina maji na Umeme.

Madalali hawatakiwi. Ipo wazi kwa Wateja walio seresous kuja kuangalia muda wowote. Bei watapewa wanunuzi wenye dhamira ya kweli kununua.

Ukiwa unahitaji wasiliana nasi moja kwa moja kwa kupitia +255766075353.

Image Gallery

No images.

Map Location