Nyumba-inauzwa-njiro-arusha

Nyumba-inauzwa-njiro-arusha


Contact Seller
Report this advert

Description

Ni nyumba ya makazi na ipo mita 500 kutoka kituo cha daladala cha Tanesco barabarani ya njiro.
Nyumba bado ina hali nzuri sana na ilijengwa kisasa kwa kuzingatia taratinu zote za ujenzi.
Mnunuzi anaweza kuirekibisha kidogo na kuendelea kuitumia kwa makazi au kwa biashara.

Huduma Muhimu

Vyumba: 4
Jiko: lina makabati ya mbao
Master: Ipo ghorofani
Huduma: Maji na umeme vipo
Ukubwa:740 SQ meters
Parking: gari mbili zinaweza kuegeshwa sehemu maalumu ya kuegeshea
Eneo: Ni eneo zuri lenye mvuto

Image Gallery

No images.

Map Location