Description

Eneo lipo kusini mwa shangarai 1km kutoka Moshi Arusha road.eneo tayari limeshafungwa maji na Lina barabara upande wa magharibi na kaskazini kuingia shambani.pia nguzo ya umeme ipo mpakani mwa kiwanja.umbo na vipimo vya kiwanja vipo kwenye mchoro.picha ya google earth inaonesha eneo lilipo likiwa na jina Riziki’s farm.

Hakuna udalali eneo linauzwa na mmiliki .wasiliana nami kwa simu 0758666849

 

Image Gallery

Map Location