Nafasi-ya-kazi-sales-and-office-management

Nafasi-ya-kazi-sales-and-office-management


Contact Seller
Report this advert

Description

Tunatafuta mtu kwa ajili usimamizi wa office na mauzo kwenye biashara ya tailoring

Majukumu:

Kusimamia operations za office
Kutembelea shule na makampuni kutafuta tenda za kuwashonea sare
Kusimamia account za biashara za social media
Kufanya tafiti za fursa za kutanua biashara
Kuandaa kampeni na mipango ya kuitangaza brand ya kampuni
Kufikia target za kila mwezi/week
Kutunza mahusiano mazuri na makampuni/wateja wetu

Vigezo
Awe anajiamini na uwezo mkubwa sana wa kushawishi
Awe anajituma na kuheshimu taratibu za kazi
Awe mpenda mitindo
Awe fikra za nje ya box

Mshahara: 200,000/- kwa mwezi pamoja na bonuses kwa kazi nzuri
Faida zingine: Nauli kwa safari zote za kikazi

Tuma CV na maombi kwenda email: takistailors@gmail.com

Kwa maelezo zaidi tupigie: 0768629239

Image Gallery

No images.

Map Location