Pata CCTV Camera Ndogo Kwa ajili ya Nyumbani, Dukani pamoja Na Ofisini

Pata CCTV Camera Ndogo Kwa ajili ya Nyumbani, Dukani pamoja Na Ofisini


Contact Seller
Report this advert

Description

Epuka kuwa na hofu wakati ukiwa mbali na Nyumba yako, duka lako au Office yako..

Dove Technology tumekuletea Mini CCTV Camera Itakayo kuwekea ulinzi wa mali zako ukiwa mbali nazo.

 

SIFA ZAKE:

  • Plug and Play – Hai hitaji Wiring, ni wewe tu kuamua unaiweka wapi kisha unaifunga na inafanya kazi hapohapo.
  • Motion Detaction – Ikiwa inatumia Technolojia ya Infrared, Inaweza kugundua kama kuna mchakato eneo lako na kuanza kurecord.
  • Mobile App – Unaweza ku monitor ukiwa sehemu yeyote kupitia simu yako ya mkononi au Computer
  • 2 way audio communication- Ukiwa uko mbali unaweza kusikiliza na pia kuongea na aliyeko eneo ulilofunga camera hii.
  • Alarm push notifications – Unapata taarifa kwenye simu yako ikitokea uvamizi kwenye mali zako pia inakutumia picha za tukio.

Zipo sifa nyingi za Camera hii, Tafadhali Wasiliana nasi kwa kujibu Email hii au Whatsapp +255 763778764 au fika officin kwetu Mwana, Arusha kujipatia Ulinzi wa nyumba yako.

 

Zimebaki Chache!!

========================================================================================================================

We have Min Smart CCTV camera For your Home, Office or Sop.

It connects to your phone via the smartphone app available on Android and iOS, so you can keep an eye on your Home, Office or shop wherever you are.

With features such as motion sensors, 1-way video communication, and a 2-way audio system, you can always know what’s going on in your Home, Office or shop.

This Camera comes with a built-in infrared light sensor to detect the amount of light in the room, so you can always see even if the lights are off. You can also mount the camera anywhere in your Home, Office or shop with the included wall mount plate.

 

Features:

-WiFi connection
-Connect Multiple Camera Devices
-Mobile app so you can access your camera no matter where you are (Android & iOS, PC/Mac web Browser)
-Light sensors and night vision infrared camera
Pan/tilt 360°panoramic view
-Built-in microphone and speaker (2-way audio communication enabled)
Motion sensor
-Alarm push notifications
-Real-time visuals through the app

 

Package Included:

1 x IP Camera

1 x USB Cable

1 x USB Power Adapter(Plug type optional)

1 x User Manual

1 x Wall Mounting Plate

1 bag Screw

=================================================

Image Gallery

Map Location