SHAMBA HEKA 3 LINAUZWA NDURUMA UNGUINI / A good 3 hectare farm for sale Nduruma

SHAMBA HEKA 3 LINAUZWA NDURUMA UNGUINI / A good 3 hectare farm for sale Nduruma


Contact Seller
Report this advert

Description

Shamba zuri heka 3 linauzwa Nduruma

Lipo pembezoni ya mto Nduruma

Kulifikia ni 500 mtrs kabla ya mji wa Unguuni unakunja kushoto katka eneo la Kitifu

Shamba limezungushiwa miti mingi ya matunda na mbao

Baadhi ya miti hiyo iliyopandwa toka 2015 ni ya kuvuna sasa

Pia kuna miti mikubwa ya asili

Pia kuna miche 100 ya migomba

Shamba linafaa sana kwa kilimo mwaka mzima kwani kuna mtandao wa mifereji ya umwagiliaji

Mawasiliano

+255712980232/ +255784328009/ +255754816874

 

 

A good 3 hectare farm for sale Nduruma
It is located on the banks of the Nduruma River
It reached 500 mtrs before the town of Unguuni turned left in the Kitifu area
The farm is surrounded by many fruit trees and timber
Some of those trees planted since 2015 are now harvested
There are also large native trees
There are also 100 banana seedlings
The farm is very suitable for agriculture all year round as there is a network of irrigation canals
Communication
+ 255712980232 / + 255784328009 / +255754816874

 

Image Gallery

No images.

Map Location