VIWANJA VINAUZWA KWA BEI NAFUU. ARUSHA.BILA DALALI(BY OWNER)

VIWANJA VINAUZWA KWA BEI NAFUU. ARUSHA.BILA DALALI(BY OWNER)


Contact Seller
Report this advert

Description

TUNAUZA VIWANJA VILIVYOKO KIJIJI CHA MUUNGANO KATA YA

CHEKERENI,.UMBALI KUTOKA CLOCK TOWER NI 15KM. KUELEKEA

MOSHONO KONA  TO LOKI.UMEME NA MAJI VIKO KARIBU.

PIA NI 7KM KUTOKA EAST AFRICA ROAD..
VIWANJA VINA UKUBWA WA 17 MT KWA 20 MT

-,KWA PESA TASLIM NI TSHS 2,100,000=

-AU KWA KULIPA KIDOGO KIDOGO WA AWAMU TATU AU NNE KWA NDANI YA SIKU 90 NI TSHS 2600,000= KAMA IFUATAVYO:

1)AWAMU YA KWANZA UNALIPA TSHS 1,100,000=

2)AWAMU YA PILI UTALIPIA TSHS 500,000=

3) AWAMU YA TATU UTALIPIA TSHS 500,000=

4)AWANU YA NNE UTALIPIA TSHS 500,000=

AWAMU ZOTE NNE ZITAKAMILIKA NDANI YA SIKU 90.

BEI HIZI NA VIWANJA HIVI VINAUZWA NA MWENYE MALI SIO DALALI .

KARIBUNI SANA.

MAWASILIANO MOBILE 0784 887 626.

Image Gallery

No images.

Map Location