
MBOLEA HALISI 100% KWA AJILI YA MBOGA NA MAUA ZA NYUMBANI
- Location:
- Category:
Contact Seller
Report this advert
Description
????POWDER ORGANIC FERTILISER????
Hii no mbolea halisi 100%. Hutumika kwa kiwango cha kijiko ya chakula 1-2 tu kwa maua na mboga kulingana na ukubwa wa maua.
FAIDA
-Instawisha maua
-Inaongeza madini muhimu kwenye udongo
-inazuia wadudu
-inaleta mvuto kwenye mwonekano wa ua.
-hutumika kwa kiwango mdogo.
BEI
Packti moja @2500
kwa mawasiliani zaidi tupigie
0752125252
Tunapatikana Arusha na mkoani tunatuma kwa uaminifu
????ORGANIC LIQUID FERTILISER????
Hii no mbolea halisi 100%. hutumika kwa kiwango kidogo kidogo kwenye mboga na maua za nyumbani.
FAIDA
-Inastawisha maua
-inaongeza madini muhimu kwenye udongo
-boresha afya ya mizizi
-inazuia wadudu
-hutumika kama BOOSTER ya maua
BEI
1ltr @2000
2.5ltr @4000
5ltrs @6000
kwa mawasiliano tupigie kwa 0752125252
Tunapatikana Arusha na pia tuna tuma mkoani.