Description

Nafasi za kujiunga na masomo ya chuo January 2023.
Chuo cha mafunzo ya ufundi stadi Help to self Help kinawakaribisha kujiunga na kozi za
1. Ufundi umeme WA majumbani
2. Upishi
3. Mapokezi ya wageni
4. Uhudumu WA chakula na vinywaji
5. Ushonaji WA nguo
6. Ususi na urembo
7. Computer
8. Kifaransa
Kozi hizi zipo Kwa miezi 3/, 6 mwaka mmoja /miaka miwili.
Sifa za kujiunga kozi za miezi sita ni kuanzia Darasa la Saba, kidato cha nne, sita au zaidi . Kwa kozi zinazoanzia mwaka mwombaji awe amemaliza kidato cha nne au zaidi.
Pia tuna program maalum ya miezi 3  itakayoanza tarehe 23 January Kwa wale wanaosubiri matokeo ya form four.
Chuo kina hostel Kwa wanafunzi WA kike.
Form zinapatikana chuoni, au kwenye website yetu www.hsh.or.tz
Tunapatikana pia kwenye Facebook na Instagram Kwa jina la helptoselfhelporganization.
Chuo kipo Sakina, mkoani Arusha.
Wasiliana nasi Kwa simu no
0744 666680 / 0744 666685 / 0755 404444. .
Chuo kinafunguliwa tarehe 9 January na usajili unaendelea chuoni.
 Karibu upate ujuzi.

Image Gallery

No images.

Map Location