St Jude’s Silent Auction – 6000+ Items – THIS FRIDAY 17 SEP

St Jude’s Silent Auction – 6000+ Items – THIS FRIDAY 17 SEP


Contact Seller
Report this advert

Description

St Jude’s Silent Auction of New & Used Items!

 The School of St Jude is having a silent auction to sell over 6,000 new and used items! Don’t miss out!

Date: Friday 17 September

Viewing Time: 10am – 10:30am

Auction Time: 10:30am – 11:30am

Location: The School of St Jude, Sisia Campus, Moshono, Arusha (please park on tarmac road near large yellow St Jude’s sign, no parking down rough road)

Please see attached document with more details including all items for auction.

You are welcome!

 Mnada wa kimya wa vitu vipya na vilivyotumika katika Shule ya St Jude

 Shule ya St Jude itakuwa na mnada wa kimya kwa ajili ya kuuza vitu zaidi ya 6,000, vipya na vilivyotumika! Hii si ya kukosa.

 Tarehe: Ijumaa Septemba 17

Muda wa kuangalia: Saa 4 hadi 4:30 asubuhi

Muda wa mnada:Saa 4:30 hadi 5:30 asubuhi

Mahali: Shule ya St Jude, Kampasi ya Sisia, Moshono, Arusha (Tafadhali egesha gari lako barabarani karibu na kibao kikubwa cha njano cha St Jude’s kwani hakuna maegesho karibu na shule.

 Tafadhali angalia nakala iliyoambatanishwa kwa maelezo zaidi pamoja na vitu vyote vitakavyokuwa mnadani.

Karibu sana!

Image Gallery

Map Location