Description

Tunatangaza tenda ya kufanya manunuzi ya vitu vya shule vilivyo orodheshwa:-

Atakayechaguliwa atapaswa kushusha vitu kila Jumamosi shuleni.

Shule ipo Oljoro Jeshi la kwanza – Arusha

Tuma maombi kwa email:- bursar@aaarushascience.co.tz

Mwisho wa kutuma maombi ni Jumanne tarehe 11 Januari, 2022.

Image Gallery

Map Location