Tangazo-la-tenda-kwa-wauzaji-wa-asali-gesi-na-viungo-vya-chai

Tangazo-la-tenda-kwa-wauzaji-wa-asali-gesi-na-viungo-vya-chai


Contact Seller
Report this advert

Description

Habari,
Kwa wale wadau nikimaanisha wafanyabiashara, Limitless Life Network iliyopo Arusha inakutangazia tenda kupitia Life Tea.

Life Tea tunatafuta wauzaji wa asali, gesi na viungo vya chai ambao wapo tayari kuingia mkataba nasi wa kutuuzia bidhaa hizo kwa mwezi mzima na kupokea malipo yote mwisho wa mwezi yaani tarehe 30 kila mwezi.

Hivyo basi kwa wale wauzaji watakaokuwa tayari kuingia mkataba huu wafike ofisini kwetu Arusha, mtaa wa Pangani Jengo la LImitless Life Network Gorofa ya Kwanza jumatatu mpaka Jumamosi kuanzia tarehe 05/09 mpaka tarehe 15/09.

pia unaweza kuwasiliana nasi kwa namba;
0757698000

Image Gallery

No images.

Map Location