Description

Kibo Foods imeleta unga wa MUHOGO katika ubora wake tena, yaani 100% ya udaga.
Pia tuna mchanganyiko wa dona na udaga. Ugali wake ni imara sana kwa afya.
Unga wetu unapata kwa ujazo wa Kg1, kg2, & kg 5. Tuna kiwanda Arusha na Mwanza.

Karibu JIKONI LEO, piga +255784425110|+255755637505

Image Gallery

Map Location