
Unaweza VTC – Nafasi za Kuijunga na Masomo 2023
- Location:
- Category:
Contact Seller
Report this advert
Description
Chuo cha mafunzo ya ufundi stadi Unaweza kinawakaribisha kujiunga
na kozi zafwatazo:
na kozi zafwatazo:
1. Ufundi umeme wa majumbani
2. Uhudumu wa chakula na vinywaji na Upishi
3. Uongozi Utalii – Daraja la 3
4. Ushonaji wa nguo
5. Ususi na urembo
7. Kompyuta au ICT
8. Kozi za lugha ya kifaransa, Kiingereza, Kihadzabe na Kimasai
Kozi hizi zipo Kwa miezi 3/, 6 mwaka mmoja.
Sifa za kujiunga kozi za miezi sita ni kuanzia Darasa la Saba, kidato cha
nne, sita au zaidi . Kwa kozi zinazoanzia mwaka mwombaji awe amemaliza
kidato cha nne au zaidi.
Sifa za kujiunga kozi za miezi sita ni kuanzia Darasa la Saba, kidato cha
nne, sita au zaidi . Kwa kozi zinazoanzia mwaka mwombaji awe amemaliza
kidato cha nne au zaidi.
Chuo kina hostel Kwa wanafunzi wa kike na wakiume
Form zinapatikana chuoni au kupitia namba ya whatsapp (0688756735)
Chuo kipo Kisongo karibu na Shule ya Braeburn International, mkoani Arusha.
Wasiliana nasi Kwa simu no
0744 991 920 / 0688 756 735
Chuo kinafunguliwa tarehe 16 January 2023 na usajili unaendelea chuoni.
Karibu upate ujuzi.
—
Unaweza Vocational Training Center
Plot 1130 Mateves Hill,
Olmoti Ward, Kisongo,
Arusha City, Tanzania
0744-991-920 / 0688-756-735
Image Gallery
No images.