Unga-royal-special-wa-lishe-kwa-ajili-ya-watu-wenye-kisukari (diebetic)

Unga-royal-special-wa-lishe-kwa-ajili-ya-watu-wenye-kisukari (diebetic)


Contact Seller
Report this advert

Description

Imetengenezwa kwa :
Majani ya mlonge,Soya lishe,Korosho,mbegu za maboga,mdalasini,iliki,chia seed na uwele,combat maharage

Maelekezo:
Pika kwa mda usiopungua dk 15,unaweza kuongeza flavour yeyote unayopendelea,ikiwemo maziwa ya mtindi au fresh.
Unga huu ni bora sana kwa watu wenye kisukari na una virutubisho vyote muhimu.
kwa mawasiliano piga:0623823572
Tunasafirisha pia mikoani.
Bei ni 7000 per 1kg
Karibuni sana.

Image Gallery

Map Location