MS TCDC now Offering Short Professional Courses in Kiswahili/Tunatoa Mafunzo ya Muda Mfupi kwa lugha ya Kiswahili

MS TCDC now Offering Short Professional Courses in Kiswahili/Tunatoa Mafunzo ya Muda Mfupi kwa lugha ya Kiswahili


Contact Seller
Report this advert

Description

Je, wewe ni msimamizi, meneja, mratibu au afisa kwenye mradi wa maendeleo? Chuo cha MS Training Centre for Development Cooperation (MS TCDC) kina habari njema kwako.  

 

MSTCDC sasa inatoa mafunzo ya kozi zake penda na maarufu kwa lugha ya Kiswahili.  Kozi hizo ni: 

  1. Project Planning and Management – Upangaji na Usimamizi wa Miradi ya Maendeleo.  
  2. Monitoring Evaluation, Accountability and Learning – Kufuatilia Miradi ya Maendeleo, Kuitathimini na Kuitolea Taarifa ya Utekelezaji.  
  3. Resource Mobilisation and Management – Utafutaji na usimamizi wa Rasilimali za Miradi ya Maendeleo.

    Kozi zote hizi zinatolewa kwa lugha ya Kiswahili. Mafunzo haya yatakuwezesha kuelewa mzunguko mzima katika kutafuta rasilimali, kupanga, kufuatilia, kusimamia, na kutekeleza shughuli zote za miradi ya maendeleo. Kozi hizi  zinatolewa kwa amamu mbili.

    Maombi yako wazi sasa, unaweza kutuma maombi yako kwa barua pepe communications@mstcdc.or.tz. Kwa maelezo zaidi piga Simu Na. 0748 068 374

    Karibu ujifunze nasi kwa lugha ya Kiswahili! 

Image Gallery

Map Location