
Description
NAFASI YA KAZI*
AFISA MASOKO (Nafasi Moja)
*TAASISI*
CHUO KIPYA CHA MAFUNZO YA UONGOZI NA MENEJIMENTI KWA WATUMISHI WA SERIKALI, MASHIRIKA NA KAMPUNI BINAFSI (Leadership and Management Training Institute) KINATANGAZA NAFASI YA AFISA MASOKO.
*SIFA ZA MWOMBAJI*
- a) AWE NA ELIMU YA KIDATO CHA 6 AU ZAIDI.
- b) AWE NA DIPLOMA AU DIGRII YA MASOKO (B. COM/BA IN MARKETING)
- c) MWENYE UZOEFU WA MIAKA 3 KATIKA FANI YA KUNADI MAFUNZO YA WAFANYAKAZI KATIKA KUBORESHA UTENDAJI NA UFANISI MAOFISINI (Employee Training and Development Services).
- d) AWE NA UJUZI WA MATUMIZI YA COMPUTER NA INTERNET.
*KITUO CHA KAZI*
CHUO KIPO ARUSHA, TANZANIA.
*NAMNA YA KUOMBA*
MAOMBI YA KAZI PAMOJA NA CV YATUMWE KWA BARUA PEPE.(Email)
Image Gallery
No images.