Description

Caroli Agri Business ni Kampuni inayopatikana Moshi Mkoa wa Kilimanjaro eneo la Pumwani barabara ya himo kabla ya kufika Kawawa Road

Ni kampuni inayojishughulisha na Kusafisha nafaka na hivi karibuni itaanza shughuli ya Kuoka Mikate na Usagishaji wa Unga wa Mahindi na Ngano, pamoja na mafunzo ya bure kwa ajili ya uokaji mikate

Katika upanuzi wa Kiwanda Kampuni inahitaji Mkandarasi kwa ajili ya Ujenzi wa majengo mbali mbali, hivyo basi kwa makandarasi yeyote mwenye sifa tajwa hapo juu anaombwa awasilishe wasifu wa kampuni ikiwa na otrodha ya kazi ulizofanya karibuni, kwenye email ifuatayo johnmbatia29@gmail.com na kopi kwa hkiwori@gmail.com kabla ya tarehe 28/12/2021

Image Gallery

No images.

Map Location