
Description
Ninauza Frames za maduka, ziko Muriet karibu na shule ya Terati. Frames nne na korido kubwa ya kutosha chumba kingine, choo na bafu, na eneo la kujenga rooms nyuma.
Bei milioni 22 Tsh.
Kwa mawasiliano 0683695748
Image Gallery
No images.