
Description
Nyumba iko Sanawari 1km kutoka main road ya AICC.
Ni family house ya vyumba 3 kimoja ni master room.
Open kitchen na sebule
Mtaa moivo Barbara chocolate House nyumba : Parking space inaingia magari 5.
Malipo ni makubaliano kati ya mpangaji na mwenye nyumba.
Kwa mawasiliano tupigie +255 763 053 060: