
Description
3Rooms office, Nice reception, meeting hall up to 20 members, large parking area with a beautiful garden; maximum security available. Located at UZUNGUNI – EBELA ROAD 150metres from KANISA ROAD. PRICE $550 or TSH. 1,265,000=. Contacts: 0788444437 / 0755485806
———————–
Ofisi ya vyumba vitatu, Sehemu nzuri ya mapokezi, ukumbi wa mkutano wa watu 20, sehemu ya maegesho ya magari kubwa na bustani nzuri. Tunakuhakikishia ulinzi wa kutosha; ipo UZUNGUNI – EBELA ROAD mita 150 kutoka KANISA ROAD. BEI $550 au TSH. 1,265,000=.
Tupigie : 0788444437 / 0755485806