Nyumba ya room mbili na vyoo viwili, square meter 650 njiro. Inauzwa.( HOUSE FOR SALE IN NJIRO AREA 650Sq)

Nyumba ya room mbili na vyoo viwili, square meter 650 njiro. Inauzwa.( HOUSE FOR SALE IN NJIRO AREA 650Sq)

Contact Seller
Report this advert

Description

Nyumba ni nzuri ipo njiro. Ina vyumba viwili sebule jiko na vyoo viwili. Eneo la nje nikubwa unaweza jenga nyumba ya room tatu zaidi ama room za wapangaji zakutosha. Nyumba ina tittle deed na kila kitu ni swafi kabisa.maji umeme upo. Nyumba inaukubwa wa square meter 650sq. Bei ya nyumba ni milioni 72(milioni sabini na mbili)

Karibu uione.
Nipigie 0715022440
Asante sana

Image Gallery

No images.

Map Location