Shamba Usa River na frames za maduka Muriet

Shamba Usa River na frames za maduka Muriet


Contact Seller
Report this advert

Description

Ninauza shamba na frames za maduka:

 

Frames za maduka Muriet milioni 24 Tsh.

Frames nne na korido kubwa ya kutosha chumba kingine, choo na bafu, na eneo la kujenga room nyuma.

 

Shamba la kumwagilia eka moja Kwa Ugoro Usa River baada ya Dolly Estate, milioni 10 Tsh.

Limepakana na mfereji, maji miaka yote misimu yote.

 

Kwa mawasiliano piga 0683695748

Image Gallery

No images.

Map Location