Free Cervical cancer screening & Family planning services – MRT Health Centre – 28th April 2018

Free Cervical cancer screening & Family planning services – MRT Health Centre – 28th April 2018


Contact Seller
Report this advert

Description

MRT HEALTH CENTRE ARUSHA TANZANIA

WE FEEL    WE SERVE

 

Kituo cha Afya MRT kilichopo Mianzini Kwa Mollel Arusha,

Kinawatangazia Huduma ya uchunguzi wa Saratani ya shingo ya kizazi, pamoja na Huduma ya Uzazi wa mpango, ikiwemo:

  • Vidonge
  • Vipandikizi,
  • Vitanzi na kufunga kizazi.

Huduma hii itatolewa bure.

Tarehe 28/04/2018, Siku ya jumamosi kuanzia saa mbili kamili asubuhi ,

kwa mawasiliano zaidi piga simu kwa namba zifuatazo
0782300305  0768374547.

Shukrani za pekee zimwendee Kaimu mganga mkuu wa Afya Arusha!

*Kumbuka; kansa ya shingo ya kizazi hutibika kama ikiwahiwa mapema*

Usikose nafasi hii.

MRT HEALTH CENTRE
Mianzini , kwa Mollel ,arusha
announces
Free Cervical cancer screening & Family planning services:
including

  • Free tablets
  • Free tubal ligation
  • Free Norplant
  • Free loop insertion

Date: 28th April,2018
Day: Saturday
Time:8.30am-3.00pm

For further informations ,
please call :
0782300305
0768374547

Venue : MRT HEALTH CENTRE, Mianzini, kwa Mollel, arusha

Special thanks to :

The City Medical Officer of Health,Arusha

The Family Planning Coordinator, Arusha

Remember,’cervical cancer is curable, if detected earlier ‘

Don’t miss this opportunity

 

For details / Appointment, please contact
0782300305 / 0768374547
Location:

MRT Health Centre
Mianzini, kwa Mollel
Behind Finca bank, Arusha
(Adjacent to Arusha/Moshi highway )

Image Gallery

No images.

Map Location