Modern Dental Services (Veneers-Badili Meno Ya Rangi Kuwa Meupe Peeee)!!!

Modern Dental Services (Veneers-Badili Meno Ya Rangi Kuwa Meupe Peeee)!!!


Contact Seller
Report this advert

Description

MAWASILIANO: 0763 403 061

CHANGE YOUR DISCOLORED TEETH TO WHITE NOW!!! BADILI MENO YAKO YA RANGI KUWA MEUPE KWA GHARAMA KIDUCHUUUU! SASA UNAWEZA BADILI TABASAMU LAKO.

MAWASILIANO: 0763 403 061

BIKIRA MARIA MAMA WA HURUMA HEALTH CENTRE- KALOLENI JIRANI NA KARAM ENGINEERING/MONJES C LODGE

COMPREHENSIVE DENTAL SERVICES OFFERED INCLUDE;
1. Dental check up- Kuchunguza meno na kinywa
2. Crowns and bridgework-Kuweka kofia na meno bandia bila kuvua
3. Fillings- Kuziba meno
4. Gum disease therapy- Matibabu ya fizi
5. Composite veneers- Kubadili meno ya rangi kuwa meupe
6. Professional teeth cleanings- Kusafisha kinywa au meno
7. Root Canal Treatment- Kuua jino (matibabu ya mzizi wa jino)
8. Tooth extractions- Kung’oa meno yaliyoshindikana kutibika
9. Removal of wisdom teeth- Kung’oa meno ya mwisho yaliyoota vibaya
10. Dentoalveolar surgery- Upasuaji wa kwenye taya
11. Orthodotic surgery for children and adults- Upasuaji kwa watoto kwa ajili ya kupangilia meno mdomoni.
12. Pre-prosthetic surgery- Upasuaji kwa ajili ya maandalizi ya kuweka meno bandia
13. Repair of soft and hard tissue facial trauma- Matibabu ya ajali ihusishayo taya na uso.
14. Diagnosis and treatment of cyst and tumors (pathology) of the mouth and jaws- Matibabu ya uvimbe wa taya, kinywa na uso.
15. The management of temporomandibular joint disorders- Matibabu ya kutokufungua mdomo
16. The treatment of head and neck infections- Matibabu ya maambukizi ya shingo na kichwa
17. The diagnosis and management of oral and maxillofacial diseases- Huduma za magonjwa ya kinywa, shingo na uso
18. The diagnosis and treatment of facial pain- Huduma za maumivu sugu ya usoni/kichwa

Dr Beatus Stanslaus, DDS
Oral and Maxillofacial Surgeon, DDS, MDent-OMFS
Contacts: +255 (0) 763 403 061
Care in Dentistry

Image Gallery

Map Location