NAFASI YA KAZI i: mwalimu wa hotel nadharia na vitendo. ARUSHA

NAFASI YA KAZI i: mwalimu wa hotel nadharia na vitendo. ARUSHA


Contact Seller
Report this advert

Description

Chuo Cha Visha Training Institute ni chuo Cha Ufundi na Ujunzi mbalimbali chenye maadili ya Mungu, kinatoa nafasi ya kazi ya mwalimu wa hotel nadharia na vitendo.

Sifa: Awe anajua kupika vyakula hot kitchen,  pastry na bake .
Awe anajua English kuongea na kuandika
Awe mwenye miaka 20-45
Awe ni mtanzania
Awe na cheti Cha sekondari na cha taaluma
Awe na kitambulisho Cha NIDA.
Mwisho wa tangazo hili ni 1st January 2023.
Maombi yote yatumwe kwa WhatsApp na. 0755854407 au email vishainstitute@gmail.com vyeti, barua na CV.

Image Gallery

No images.

Map Location