
Description
Anahitajika mpishi mwenye sifa zifuatazo;
-awe anajua kupika local spiced dishes, ajue kutumia spices vizuri, awe mtaalam wa kupika chapati na mandazi na vitumbua aweze pia kupika sambusa, ajue kufanya marination ya aina zote za nyama, ajue kupika supu, kutengeneza salads.
– awe msafi, na mshapu
– aweze kufanya kazi kwa ushirikiano
– awe na experience ya upishi
Eneo la kazi ni Mafinga Iringa
Tupigie simu kwa No. 0755 446517
Mshahara ni Shs 500k
It’s a new place kwahiyo the goal ni tasty food maana ndo our motto na silaha yetu ya upinzani wa biashara “delicious local foods”
Image Gallery
No images.