NAFASI YA KAZI YA SECRETARI

NAFASI YA KAZI YA SECRETARI


Contact Seller
Report this advert

Description

NATAFUTA SECRETARI MWENYE UZOEFU USIOPUNGUA MIAKA SITA.

 

SIFA

– AWE MTANZANIA

 

– ANAJUA KUONGEA NA KUANDIKA KISWAHILI NA KIINGEREZA

 

– AWE ANAJUA KUCHAPISHA (TYPING)

 

– AWEZE KUFANYA KAZI ZA KIUTAWALA (ADMINISTRATIVE WORKS)

 

– MWENYE KIJIAMINI

 

– ASITOE SIRI ZA KAMPUNI (CONFIDENTIAL)

 

– AWE MSTAARABU

 

– AWE MWENYE UPENDO NA WATU

 

– UMRI KUANZIA MIAKA 25 MPAKA 30

 

ELIMU YAKE IWE KUANZIA DIPLOMA YA SECRETARY NA KUENDELEA

 

KAMA UNAKIDHI VIGEZO HIVYO AU ZAIDI WASILIANA NA LAZARO 0678 035 456

KARIBU

 

Image Gallery

No images.

Map Location