
NAFASI YA MFANYAKAZI KAZI NYUMBANI-NJIRO ARUSHA
- Location:
- Category:
Contact Seller
Report this advert
Description
Nafasi ya mfanyakazi wa Nyumbani-Njiro Arusha
Maelezo maalumu:
Ø Tunahitaji anayeweza kuishia na familia
Ø Ni lazima awe mcha Mungu
Ø Mshahara: 100,000.00-150,000.00
Ø Mapumziko: Mara moja kwa wiki
Majukumu ya Msingi:
Mtumishi wa ndani atahusika na majukumu ya msingi ya nyumbani kuanzia Usafi wa ndani na njee ya nyumba, Kupika Chakula kufua nguo mara chache, kujali watoto wenye umri wa miaka 8 na kuendelea na muhimu zaidi kuwa sehemu ya familia.
Majukumu Ya Msingi:
v Kufanya Usafi ndani ya nyumba na katika eneo la nee ya nyumba
v Kujitoa kwa moyo katika kulea watoto na familia kwa ujumla wakiwa nyumbani.
v Kuosha vyombo na sehemu inayopaswa kuhifadhia vyombo
v Kuwaelekeza watoto shughuli za nyumbani
v Kuhakikisha taa zinawashwa na kuzimwa kwa wakati
v Kuweka mpangilio sahihi wa nyumba
v Kutunza bustani za maua na bustani
v Kufua nguo za watoto
v Kufanya maukumu memngine ya nyumbani utakayopangiwa
Kinachohitajika:
- Usafi wa binafsi na wa maeneo ya nyumbani ni muhimu
- Uwezo na Uzoefu wa kufanya kazi za nyumbani miaka mitatu
- Uwezo wa kufanya Kusimamia shughuli za nyumbani
- Muhimu uwe mcha Mungu
- Ustaarabu na heshima ya eneo la kazi ni muhimu
- Ujuzi wa Kupika Vyakula vya kawaida vya kiafrika
Elimu na Ujuzi:
- Elimu ya Sekondari/Darasa la saba na mafunzo ya ulezi kwa ngazi ya cheti
- Ujuzi wa kutumia mashine za kufua na majiko ya umeme
Jinsi ya Kuomba kazi hii:
Tuma maombi yako kupitia anuani hii ya barua pepe: application@expertconsultancy.co.tz . Au piga simu kwa Ismael kupitia namba 0759261468.