
Description
NAFASI ZA WAKALA WA MAUZO – ARUSHA
Kuna nafasi 6 za kazi za uwakala wa mauzo Kwa mkoa wa Arusha.
*SIFA*
– Kidato cha nne au sita.
– Mwenye uwezo wa kutumia smartphone.
– Mwenye uwezo wa kuzungumza na ushawishi.
– Wenye uwezo wa kutumia computer watapewa kipaumbele.
– Kuingizwa kwenye mchakato , Tuma message ya jina lako na elimu yako na mahali unapoishi kwenye namba hii ya simu 0658300993
Mwisho wa kutuma maombi haya ni tar 23/09/2022.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0658300993
Image Gallery
No images.