NATAFUTA MSICHANA WA KAZI

NATAFUTA MSICHANA WA KAZI


Contact Seller
Report this advert

Description

Habari watu wa Arusha.

 

Natafuta msichana wa kazi za ndani.

Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi 30.

Awe na uwezo wa kulea watoto wawili,

Awe mchapakazi na mpenda mazoezi,

Awe mcha Mungu na mwenye huruma kwa watoto

Awe na uzoefu wa kupika mapishi mbalimbali,

Awe na uzoefu wa kufanya kazi za ndani kuanzia miaka mitatu na kuendelea.

Awe wa kulala nyumbani(boss)

 

ALIYE TAYARI AWASILIANE NA LAZARO NAMBA: 0678 035 546 AU 0746 55 5523

AU EMAIL masaimbise@gmail.com

 

Image Gallery

Map Location