NATAFUTA MSICHANA WA KAZI ZA NDANI / LOOKING FOR NANNY

NATAFUTA MSICHANA WA KAZI ZA NDANI / LOOKING FOR NANNY


Contact Seller
Report this advert

Description

Nahitaji msichana wa kazi za ndani wa kulala nyumbani kwangu. Awe na uzoefu wa kutunza watoto wa miaka saba na Tisa. Awe mkristo na mpenda dini. Awe msafi, mwenye kujituma, apende mazoezi na watoto kwa ujumla.

Awe na uzuefu wa miaka mitatu wa kazi hiyo.

Awe na umri kuanzia miaka 20 hadi 35.

Alie tayari tuwasiliane kwa namba 0678 035 546

Image Gallery

No images.

Map Location