
Description
Habari watu wa Arusha.
Natafuta msichana wa kazi za ndani. Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 30. Awe na uwezo wa kulea watoto wawili mmoja miaka 15 mwingine 13, wote wanaenda shule. Awe amemaliza kidato cha nne, anayependa mazoezi, awe na uzoefu wa kufanya kazi za ndani kwa ujumla. Awe anampenda Mungu na mwenye huruma kwa watoto.
ALIYE TAYARI AWASILIANE NA LAZARO NAMBA: 0746 555523 AU 0678 035 546
AU EMAIL masaimbise@gmail.com
Image Gallery
No images.