
Description
TUNATAFUTA MAFUNDI
Ø FUNDI MEKANIKA WA TOTOTA 1HZ
Ø FUNDI WA FUSO NA CANTER
Ø FUNDI WA KUSUKA INGINI
Ø FUNDI UMEME WA MAGARI
Ø FUNDI RANGI WA MAGARI
SIFA ZINAZOTAKIWA
Ø UZOEFU USIOPUNGUA MIAKA 5
Ø ANAYEFANYAKAZI KWA WELEDI
Ø MWENYE NIDHAMU NZURI YA KAZI
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI
MAOMBI YOTE YATUMWE KUPITIA MESEJI NA NAMBA YA WHATSAPP ILIYOTOLEWA HAPO CHINI
MUOMBAJI ATUME MAJINA YAKE, WASIFU WAKE NA UZOEFU
TUMA MAOBI KABLA YA TAREHE 10/02/2023
MAHALI PA KAZI NI ARUSHA.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU Na. 0677400319
Image Gallery
No images.