
TANGAZO LA ZABUNI YA KUUZA MCHELE NA MAHARAGE KATIKA SHULE YA ST JUDE ILIYOKO KAMPASI YA MOSHONO
- Location:
- Category:
Contact Seller
Report this advert
Description
Zabuni no TSOSJ/2018/R-MAR/002
TANGAZO LA ZABUNI YA KUUZA MCHELE NA MAHARAGE KATIKA SHULE YA ST JUDE ILIYOKO KAMPASI YA MOSHONO
Tarehe ya tangazo: 12th March 2018 Tarehe ya mwisho ya tangazo 19th March 2018.
- Kiasi kinachohitajika Mchele = 27,500kg
- Kiasi kinachohitajika Maharage = 26,000kg
Vigezo vya kupata zabuni
Muuzaji anatakiwa awe na nyaraka zifuatazo.
- Awe na Leseni ya Biashara TIN Numba, ambatanisha na kotesheni yako
- Awe na nyaraka za biashara kama zifuatazo Invoice, Delivery Note na risiti ya TRA (EFD)
- Bei ya bidhaa iwe ni pamoja na usafiri, kupakia, kushusha na kupanga mzigo stoo.
Tafadhali andika bei ya
- Mchele wa Kahama daraja la pili kwa kilo (grade two)
- Maharage aina ya kombati kwa kilo
- Maharage aina ya nyayo kwa kilo
Alafu wasilisha bahasha iliyofungwa (sealed envelope) yenye nyaraka zote tajwa hapo juu pamoja na kotesheni yako kwa Purchasing Coordinator P. O.Box 11875 Kampasi ya Moshono kwa ajili ya kujiandikisha.
Kwa mawasiliano piga: 0684299880 / 0755867244
Tarehe ya mwisho ya kupokea zabuni ni tarehe 19 / 03/ 2018 saa nne asubuhi
Wazabuni wote au wawakilishi watatakiwa kuwepo siku ya kufungua zabuni zao ambayo ni tarehe 20/03/2018 saa 10.30 Asubuhi. Kama hutahudhuria siku ya ufunguzi, zabuni yako haitafunguliwa.
Zabuni zote zitakazoletwa baada ya muda tajwa hapo juu hazitapokelewa kabisa.
HR DEPARTMENT
The School of St Jude
PO Box 11875, Arusha, Tanzania