TUNAUZA MASHAMBA ,VIWANJA NYUMBA ZA KUPANGISHA NA KUUZA MAENEO YOTE YANAYOUZUNGUKA MKOA WA ARUSHA

TUNAUZA MASHAMBA ,VIWANJA NYUMBA ZA KUPANGISHA NA KUUZA MAENEO YOTE YANAYOUZUNGUKA MKOA WA ARUSHA


Contact Seller
Report this advert

Description

Tunauza shamba la ukubwa wa ekari tatu (3)zilizopo sehemu moja .shamba lipo katika kijiji cha Nduruma ni shamba la kumwagilia Lina umeme maji na Barabara liko kilometa 22 kutoka Mjini ARUSHA hadi shambani shamba liko karibu na Barabara kuu ya Nduruma bei kwa ekari zote tatu ni milioni kumi na tano 15,000,000/= na unaweza kulipia kwa awamu kwa kipindi kisichozidi miezi mitatu .bei hii haipunguiui huduma zote mihimu zinapatikana kwa yeyote mwenye kuhitaji shamba kiwanja nyumba ya kupangisha au kununua popote ndani ya mkoa wa Arusha asisite kuwasiliana nami kwa
Barua pepe edwardelia@gmail.com
Au kwa simu namba
+255755068174 huduma zetu ni za uwakika na haraka zaidi tuko MASHAMBA makubwa hadi ekari elfu kumi na tank sehemu moja .

Image Gallery

No images.

Map Location