
Description
Eneo lenye nyumba ukubwa wa eneo ni square meter 2369 Nyumba yenye vyumba vi tatu, sebule, jiko, na dining, pia umeme upo na maji.
Mahali ni Uwanja wa Ndege ( AIRPORT) karibu na kituo cha polisi cha staki shari, Unaweza ukajenga Lodge/ hotel /shule /kiwanda au godown, eneo lina Barabara nzuri na panafikika kwa urahisi. Bei ni Tsh mil.170. | Mawasiliano +255719263834 | +255672430250.
Image Gallery
No images.