Nyumba-ya-kupanga

Nyumba-ya-kupanga


Contact Seller
Report this advert

Description

Nyumba ya Kupangishwa, iko huru, haina mpangaji,
Nyumba ipo Sekei barabara ya vumbi kutokea Mt. Meru Hoteli kwenda Juu, Sekei Idara ya maji.. nyumba ni kubwa yenye eneo la uwazi kwa paking ya magari zaidi ya manne
Nyumba ina vyumba 4 ikiwa ni pamoja na Master room, In a choo na bafu ndani, Jiko, dinning room, seating room kubwa, chumba cha kusomea watoto, na ipo sehemu salama kabisa, Kutoka MT.Meru hotel mpaka kwenye nyumba ni umbali wa mita 200 tu
Bei ya kupangishwa ni Tsh. 350,000 Mpangaji atapaswa kulipia miezi 6 ya mwanzo. na ataendelea kulipa kwa miezi mitatu mitatu.
Ili kuiona Nyumba nipigie simu 0769 260824

Image Gallery

Map Location