
Description
ARUSHA INTERNATIONAL CONFERENCE CENTRE
KITUO CHA MIKUTANO CHA KIMATAIFA ARUSHA (AICC) KINAWAKARIBISHA KWA HUDUMA YA KUPANGISHA OFISI NA SHUGHULI ZA MATUKIO PAMOJA NA MIKUTANO YA KITAIFA NA KIMATAIFA, NAFASI ZA OFISI ZA WAZI ZAIDI YA MITA ZA MRABA ELFU NANE KWA AJILI YA KUPANGISHA OFISI ZA MAKAMPUNI BINAFSI, TAASISI ZA NDANI YA NCHI, KIKANDA NA ZA KIMATAIFA.
AICC IPO KATIKA ENEO ZURI LA KIBIASHARA KARIBU NA MASHIRIKA YA KIMATAIFA NAFASI ZA OFISI ZILIZOPO NI ZENYE UKUBWA WA KUANZIA MITA KUMI ZA MRABA NA KUENDELEA.
NJOO UPATE HUDUMA SAFI KWA BEI NAFUU YA KUPANGISHA KWA MWEZI, WIKI HADI KWA SIKU
HUDUMA ZINAZOPATIKANA NI PAMOJA NA UMEME WA JENERETA MAJI YA UHAKIKA KWA SAA ISHIRINI NA NNE SIKU SABA ZA WIKI, ULINZI KWAKO NA MALI ZAKO NI KWA MASAA ISHIRINI NA NNE NA BEI ZETU NI RAFIKI KWA MTEJA PIA TUNATOA NAFASI YA MAELEWANO NA WATEJA WETU.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA 0754660188 AU TUANDIKIE KUPITIA BARUA PEPE Marketing@aicc.co.tz
AICC, WE BRING THE WORLD TO TANZANIA
KARIBU TUKUHUDUMIE