CAR GPS SECURITY SYSTEM FOR YOUR CAR

CAR GPS SECURITY SYSTEM FOR YOUR CAR


Contact Seller
Report this advert

Description

Je! Do you know where your car [Truck or Fuso) (tractor or passenger car) is located at all times?

Wisjane Smart security – We bring you a special device to keep track of your vehicle at all times [GPS]. At very low cost this device will help you to know ktk your mobile phone the following: –

1: – You will be able to know your travels by hour, day, week or month. So for you as a business car owner this is right for you.

2: -It will give you an idea of ​​how many kilometers your car has traveled in a day … and help you know the amount of fuel to avoid driver fraud and relieve management stress.

3: It also shows you every trip and speed the car uses to help you identify the driver who is misusing the tool.

4: – You will be able to set the range that your car is crossing will give you information for example: You do not want the car to go out of arusha if you just get out you will get a report but you can also set a speed limit that you do not want your car to cross when you cross.

Note: All of this you will get through your cell phone wherever you are … it is a powerful protection for your device and your family.
Price is 200,000 / = (If you bring us a car)
It has no monthly charge

For contacts:
+255 655 438 219

+255 759 000 939

 

Je! Wajua unaweza jua Gari yako [Gari ndogo au  Kubwa (Lori au fuso) (tractor au gari za abiria) wapi ilipo wakati wote?

Wisjane Smart security – Tunakuletea kifaa maalumu cha kujua mwenendo wa gari yako wakati wote [GPS]. Kwa gharama nafuu sana kifaa hiki kitakusaidia kujua ktk simu yako yamkononi yafuatayo:-

1:- Utaweza kujua safari zako za saa, siku,wiki au mwezi. Hivyo basi kwa wewe mmiliki wa gari za biashara hii ni sahihi kwako.

2:-Itakupa kufaham kwa siku gari yako imetembea kilometer ngapi… na kukusaidia kujua kiasi cha mafuta kuepuka udanganyifu wa madereva nakukuondolea stress za management.

3: Pia inakuonyesha kila safari na speed gari inayotumia kukusadia kujua dereva ambaye anatumia chombo vibaya.

4:- Utaweza kuweka wigo ambao gari yako ikivuka itakupa taarifa mfano: Gari hutaki itoke nje ya arusha ikitoka tu utapata tarifa lakini pia unaweza kuweka kiwango cha spidi (Speed Limit)  ambayo hutaki gari yako ivuke ikivuka utapata taarifa.

Note: Haya yote utapata kupitia simu yako ya mkononi popote ulipo… ni ulinzi madhubutu kwa ajili ya chombo chako na familia yako.
Bei ni 200,000/=(Ukituletea gari)
Haina malipo kila mwezi

Kwa mawasiliano:
+255 655 438 219
+255 759 000 939

Image Gallery

Map Location