MAFUNZO YA BURE YA NAMNA YA KUAGIZA VITU KUTOKA NJE!

MAFUNZO YA BURE YA NAMNA YA KUAGIZA VITU KUTOKA NJE!


Contact Seller
Report this advert

Description

IMPORTNETTZ Inakuletea IMPORTNET ACADEMY Itakayotoa mafunzo ya BURE ya namna ya kuagiza vitu kutoka nchi za nje. CHINA, DUBAI na UTURUKI.
Mbali na ushauri wa bure, pia mafunzo haya ya Bure yatakusaidia;
  • Kuelewa kwamba, hauhitaji kuwa milionea ili uweze kuagiza bidhaa nje ya nchi kwa biashara au matumizi binafsi.
  • Namna ya kutafuta na kuhakiki wasambazaji bora wa bidhaa.
  • Namna ya kuwasiliana na wasambazaji bora wa bidhaa.
  • Namna ya kusafirisha bidhaa zako ndani na nje ya nchi.
Mafunzo haya ni kwa mtu yeyote;
  • Wafanya biashara
  • wanaotarajia kuanza biashara
  • Wana Vyuo
  • Waajiriwa na Watu binafsi.
Mafunzo haya yatakuwezesha;
  • Kuongeza kiwango cha faida na kipato kwa kuondoa wasambazaji wa kati/madalali wa ndani nchi..
  • Ufahamu na ujuzi wa kudumu.
  • Kukuunganisha na wazalishaji na wasambazaji wa uhakika.
Mafunzo yataanza tarehe 21-26/9/2023
Mahali ni katika ofisi za LINK SPACE zinatazamana na shule ya sekondari Kaloleni Arusha. Muda ni kuanzia saa 2.00 asubuhi mpaka saa 9.30 alasiri. Utahitajika uwe na Smart Phone, Internet na Note book. Chai ya saa nne na Refreshment vitatolewa BURE. Chagua siku moja kati ya Tarehe 21 mpaka 26 kwa kufanya booking mapema kwa njia ya simu.
Wasiliana Nasi

Image Gallery

No images.

Map Location