
Description
Eneo la Kwanza
- Eneo lina ukubwa wa Heka 8, lipo pembeni ya Burka Coffee Lodge .
- Eneo lipo umbai wa mita 300 kutoka Barabara ya Ausha – Dodoma na mita 300 kutoka Brabara mpya ya Kiwanja cha Ndege Arusha.
- Eneo lina Hat zote za Umiliki.
- Kila Heka moja inauzwa kwa Dolla za Marekani 90,000.
Eneo la Pili
- Eneo lipo juu ya Mlima unaopakana na A1 Hoteli.
- Eneo lina ukubwa wa mita za mraba 3,144.
- Eneo linafaa kwa Makazi na Ujenzi wa Hoteli.
- Eneo linauzwa kwa Dola za Kimarekani 130,000.
Mawasiliano: +255(0)73500580 – Damson Wilson
- Plot 1:
- The area has the size of 8 Hectors, it is located next to Burka Coffee Lodge.
- The area is located 300 meters from the Arusha – Dodoma road and 300 meters from the new Arusha Airport Road.
- The Plot has all Legal Documents.
- Each Acre is sold for 90,000 US Dollars.
2. Plot 2:• The area is on top of the mountain adjacent to A1 Hotel near Arusha Airport.• The area has a size of 3,144 square meters.• The area is suitable for Residential and Hotel Construction.• The property is for sale for 130,000 US Dollars.
Contact: 0736 500580 au 0746 453296 Damson Wilson