MCHEZO WA BAISKELI KWA VIJANA NA WATOTO

MCHEZO WA BAISKELI KWA VIJANA NA WATOTO


Contact Seller
Report this advert

Description

Ndugu Mzazi au Mlezi, Mlete mwanao aweze kujinoa katika mchezo wa kuendesha baiskeli..

Faida zitokanazo na Programu hii

1. Kumjengea Mtoto /Kijana Uwezo wa Kufikiri na kufanya maamuzi ya haraka.
2. Kumjengea Mtoto/Kijana Ujasiri na kujitegemea
3. Kumpatia mtoto/kijana nidhamu
4. Kumfundisha Mtoto/Kijana Mazoezi ni sehemu ya Maisha na mtindo mzuri wa Maisha
5. Kuwapa Vijana nafasi ya kuonyesha vipaji katika mchezo wa Baiskeli na kuwakutanisha na wadau

Tunapatikana Olasiti, Arusha.

Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana nasi kupitia namba 0764056791

Image Gallery

Map Location