NYUMBA INAPANGISHWA BOMANGOMBE HAI

NYUMBA INAPANGISHWA BOMANGOMBE HAI

  • Location:

  • Category:


Contact Seller
Report this advert

Description

Nyumba nzuri iliyoko wilaya ya Hai Inapangishwa.
Iko mtaa wa J
JIWENI karibu na Quaters za TBA, mita 800 kutoka main road Arusha Moshi
Road, na kilomita 10 to Kilimanjaro Airport. Ina vyumba vitatu , master na
viwili vya kawaida. Ina sebule, dinning, jiko, baraza mbili na servant
quarter. Kwa mawasiliano 0763 600628 na 0784 460029=

Image Gallery

Map Location