
Description
- Shamba lipo maeneo ya Kioga Ilboru (8 kilometa kutoka sanawari, na 10 kilometa kutoka clocktower)
- Lina view nzuri sana na linafaa kwa kujenga nyumba ya kuishi au camping site au lodge (nyumba ya kulala wageni)
- Lipo karibu na barabara, maji pamoja na umeme.
- Linapungua kidogo sana kwenye heka 1
- Mikataba yote ya umiliki ipo
- Kwa mawasiliano Zaidi piga; 0769 251 926 au 0767 333 286. Email yetu niĀ fredrickmbwambo@yahoo.com
Plot for sale
Located at Kioga Ilboru (8kms from Sanawari and 10 kms from clock tower)
It has a beautiful view and suitable for camping sites or lodge
Price negotiable .
For more information call us; 0769 251 926 or 0767 333 286 or emailĀ fredrickmbwambo@yahoo.com
Image Gallery
No images.