
Description
>Spare your farm from fertility exhaustion and promote good crop yield through the use of Soil King Organic inputs which are Eco-friendly and of course very affordable. These inputs which are packed in 1L bottles include;
1.) Organic fertilizer. This package comes in with numerous beneficial bacteria for humus plus. (50Mls/1L of water)
2.) Organic Bio-Slurry; An organic nutritional booster for all types of crops. (150Mls/1L of water)
3.) Organic pesticide to keep your crop plants pest and disease free.(30Mls/1L of water)
Our products are suitable for all types of crops and have been registered by TFRA. High productivity and good health to farmers and ultimate crop users is assured through their usage.
For more details please reach us through; info@elvenagri.com or soilking@elvenagri.com.
Mobile: +255746942014 or +255 762709000
Also you can follow us on Facebook: SoilKingTz.
Soil King for farm fertility restoration!
Zuia upotevu wa rutuba kwenye shamba lako na ujipatie mavuno mazuri kupitia matumizi ya pembejeo asilia za Soil King ambazo ni rafiki kwa mazingira na zenye bei nafuu mno. Pembejeo hizi hupatikana katika ujazo wa lita 1, nazo ni pamoja na;
1.) Mbolea Halisi; Ujazo huu huja na bacteria wengi wenye manufaa kwenye udongo, ambao husaidia kuongeza rutuba ya udongo.(50mls/1L ya maji)
2.) Slari asilia ya kibaiolojia: Ni busta asilia inayoongeza virutubisho muhimu kwa ukuaji wa mimea. (150mls/1L ya maji)
3.) Dawa asilia ya wadudu; Hukinga mimea yako dhidi ya wadudu waharibifu na magonjwa. (30mls/1L ya maji)
Bidhaa zetu zinafaa kwa mimea ya aina zote na zimesajiliwa na TFRA. Uzalishaji wa hali ya juu na afya kwa mkulima na mtumiaji wa mwisho wa mazao ni wa uhakika kupitia matumizi ya bidhaa hizi.
Kwa taarifa Zaidi na manunuzi wasiliana nasi kupitia; info@soilking.com au soilking@elvenagri.com
Simu: +255746942014 au +255762709000
Pia unaweza kufuata ukurasa wetu Facebook: SoilKingTz.
Soil king kwa rejesho la rutuba shambani!