NATAFUTA GARI AINA YA NOAH KWAAJILI YA KUKODISHA / LOOKING FOR CAR (NOAH) TO RENT

NATAFUTA GARI AINA YA NOAH KWAAJILI YA KUKODISHA / LOOKING FOR CAR (NOAH) TO RENT


Contact Seller
Report this advert

Description

Habari watu wa Arusha.

 

Natafuta gari aina ya Toyota Noah kwaajili ya kukodisha, iwe ngumu muundo wa zamani. Nitaitumia kuendesha hapa Arusha tu. Maeneo ya kuanzia Monduli hadi kia na kati kati ya mji.  Naendesha mimi mwenyewe (self drive) Bajeti yangu kwa mwezi ni Tsh. 450,000.

 

Kwa mawasiliano piga simu  0678 035546

Image Gallery

No images.

Map Location