
Description
Wapi? Hifadhi za wanyama Arusha
Lini? 21st to 31st of December 2019
Nini? Kutembea, kukimbia na michezo mingine mbali mbali ya watoto na watu wazima bila kusahau nyama choma
Bei? Watoto hadi miaka 15: Tshs 20,000 kwa siku(usafiri na utalii) Wakubwa kuanzia miaka 16: Tshs 30,000/-.
Watoto chini ya miaka 6 bure. For more details please contact me by email
Image Gallery
No images.